Bidhaa

STL tunajivunia uzalishaji wa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na bei nafuu sana kwa wakulima
Umakini katika kuhakikisha ubora ni muhimu sana, tuna miundo mbinu inayotuwezesha kuzaliza bidhaa ambazo zinaubora tunaoamini ni zaidi ya viwango vinavyokubalika katika soko la ndani na la nje ya nchi