Faida kubwa

Uwiano mzuri zaidi wa chakula na ukuaji

Kiwango kidogo sana cha vifo

Mayai yenye ubora wa hali ya juu ya rangi ya kahawia

Malengo/Matarajio


•    Wastani wa jumla ya mayai mpaka umri wa wiki 90 -         420
•    Ufanisi wa hali ya juu wa chakula – 129g kwa yai
•    Wastani wa uzito wa yai – 62.5g
•    Kiwango kizuri sana cha Ustawi (Kiwango kidogo             sana cha vifo) mpaka umri wa wiki 90 – 93%
      Kuku wa mayai wa STL ana uwezo mkubwa wa                 kutengeneza faida katika soko lenye ushindani

       mkubwa la kuku wa mayai. Utunzaji sahihi                    ukizingatiwa, kuku huyu anaendana vema na soko 


Kwa mafunzo ya mbinu bora za Ufugaji wa kuku wa mayai, wasiliana na kituo cha mafunzo cha Silverlands kwa maelezo zaidi.


 Ni UFUNGUO wa Fursa


“Kuku wa mayai wa STL – HazinaYai”

Kuku wa mayai