Ross.jpg
Broiler Image_pages-to-jpg-0001_edited.j

Wanakua haraka

​Uwiano mzuri sana wa chakula na uzito/ukuaji

​Faida kubwa katika uwekezaji

Malengo

  • Ukuaji wa haraka

  • Uzito wa 1.2kg ndani ya siku 28

  • Uwianao wenye tija wa chakula na uzito

  • Kiwango kidogo cha vifo

​​

​Kuku wa nyama wa STL ni kuku mwenye uwezo mkubwa wa kukupa faida katika soko lenye ushindani mkubwa la kuku wa nyama. Utunzaji sahihi ukizingatiwa, kuku huyu anaendana vema na soko

 

 

 

Kwa mafunzo ya mbinu bora za Ufugaji wa kuku wa nyama, wasiliana na kituo cha mafunzo cha Silverlands kwa maelezo zaidi.

 

 

 

 

 

Ni ufunguo wa Fursa

 

 “Kuku wa nyama wa STL – Hazina Kubwa”

Kuku wa Nyama