Kwa matumizi mawili na Endelevu

 

Kuondoa umasikini

 

Kuwawezesha kiuchumi kinamama

 

Usalama wa chakula

Malengo

  • Vinasaba vya ukuaji wa polepole

  • kufikia umri wa kuchinjwa baada ya siku 70

  • Ufugwaji huria

  • Mayai 220 kwa mwaka

  • Uzito wa zaidi ya kilo 2.5 katika umri wa kuchinja

​​

Kuku wa SASSO ana uwezo wa kukidhi mahitaji yanayoendelea kukua ya kuku anaeweza kufugwa kwa matumizi mbalimbali, anaeweza kuishi katika mazingira tofauti, asiehitaji uwekezaji mkubwa, mwepesi kufuga na anaehitajika katika soko la kuku wa rangi mchanganyiko, hivyo kusaidia kuongezeka kwa kipato cha mkulima wa Tanzania vijijini

 

 

Ni Ufunguo wa Fursa

 “KUKU WA KIJIJINI – HAZINA ILIYOFICHIKA 

Sasso