Vyakula vya kuku

Tunazalisha chakula cha kuku chenye ubora wa hali ya juu. 
Malighafi zenye ubora wa hali ya juu uliothibitishwa tu, ndizo hupimwa na kuchanganywa kwa kuzingatia nidhamu za kisasa za michanganyo zilizoidhinishwa na wataalam wa lishe wanaotambulika kimataifa.

Wafugaji wa kuku wa nyama wanaotumia chakula toka kwetu, kuku wao watafikisha uzito sahihi wa kuku wa kuchinjwa katika muda mfupi kabisa uwezekanao, wakati wafugaji wa kuku wa mayai wanaotumia chakula chetu watapata matokeo mazuri sana ya utagaji wa kuku wao 


Vyakula vyetu vya kuku vinapatikana katika mifuko ya ujazo wa kilo 50.
Mchanganyo kamili wa STL wa kuku wa mayai (Silverlands Complete Layer Mash Concentrate 40%) unapatikana katika mifuko ya ujazo wa kilo 20. Mchanganyo na Ujazo huu unamwezesha mkulima kuongeza 60% ya mahindi na kupata chakula chake chenye ubora cha Silverlands. 
Mpangilio huu unampa mkulima wa kijijini unafuu ya gharama

 

Layer.jpg

Chakula cha kuku wa mayai

Broiler.jpg

Chakula cha kuku wa Nyama